Kifo Cha Rapper "Juice WRLD" Chashtusha Dunia Nzima


Rapper Juice WRLD mwenye miaka 21 alifariki dunia Disemba 8 mwaka hu wa 2019, baada ya kuanguka chini na kushikwa na Kifafa katika uwanja wa Ndege wa Midway Chicago nchini Marekani.

Pumzika kwa amani Juice WRLD tutaendelea kukukumbuka kila siku Mwenyezi Mungu Akuweke mala pema.

Tazama picha hizo hapa, Baadhi ya wasanii ambao waliwahi kupost mitandaoni baada ya kupata taarifa hizo za huzuni.

EmoticonEmoticon