Mashuhuda wasimulia lori la mafuta lililoua Mlimani City (+video)

Mmoja wa Wafanyabiashara eneo la Mlimani City DSM, Imma ameelezea kusikitishwa kwake kufuatia kifo cha Mwanamke mmoja ambae alikuwa Mfanyabiashara mwenzao katika eneo hilo aliyeripotiwa kufariki leo baada ya Lori la mafuta kuacha njia na kumgonga wakati Dereva akiwakwepa Watu waliokuwa wakivuka kwa miguu, Watu wengine 6 wamejeruhiwa.

“Nimeona ajali nikakuta Ndugu zetu wamefariki Dunia, nikavua Tshirt yangu nikawa nampulizia Mdada mmoja, inaniuma tumempoteza Mama yetu wa hapa Kijiweni muuza mihogo, kaniuzia mihogo na chai asubuhi, akaniambia mwanangu haya maisha unayaonaje nikamwambia tupambane mwaka uishie mimi naenda Moshi na Treni” – Imma

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*